AFYA YA UZAZI

Katuni (Afyacomic) hii ni kwa ajili ya kutoa elimu kwa umma kuhusu faida zitokanazo na matumizi ya kondomu. Baadhi ya faida ni kama kuzuia mimba zisizo tarajiwa, magonjwa ya zinaa.

Afyatoon