Afya Comics

Afya comics aim at giving you an experience of fun and keep you entertained all the time while being educated.

Bwana figo

Kula vyakula bora pamoja na kunywa maji ya kutosha husaidia figo kufanya kazi yake ipasavyo. A healthy kidney is a happy kidney

Bwana figo

Figo moja linaweza kufanya kazi iwapo nyingine imedhurika.

Bwana figo

Kwa kuzingatia tiba na masharti ya wataalamu wa afya, unaweza ishi maisha yenye ubora japo una ugonjwa wa figo.

Shujaa wa siko seli

Pima kwanza kisha fanya maamuzi sahihi Fikiri juu yako na juu ya watoto utakaopata waepushe na uwezekano wa kupata siko seli.

Shujaa wa siko seli

Ni jambo la kheri na utu, kuwapa kipaumbele wagonjwa wa siko seli kupata huduma mapema. Hili pia ni kwa wale wote wenye mahitaji maalum kama wazee, watoto na mama wajawazito.

Afya ya kinywa

Tumia meno yako kwa matumizi sahihi kudumisha afya ya kinywa na meno

Afya ya kinywa

Tumia dawa ya meno yenye kiwango sahihi cha madini ya flouride kwa afya ya meno yako.